TCCIA inapenda kuwajulisha wanachama wake na wafanya biashara wote kwaujumla waliopo kwenye sekta ya Afya kuwa kampuni ya SINES Medical ya uturuki inatafuta wabia wakusambaza vifaa mbalimbali katika sekta ya afya. Hii ni fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania ambao wako tayari na wana uwezo wa kusambaza vifaa vya afya kama “Surggical equipment,hospital furniture,hospital equipment devices etc”.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na kitengo cha membership TCCIA makao makuu kupitia namba:
Tel: +2552222119437
Mobile:0655453640
Au Email:hq@tccia.com/fhamisi@tccia.com

Did you like this? Share it: