Tccia inayo furaha kukuarika kwenye maonesho ya pili ya biashara ambayo yatafanyika kwanzia tarehe 26-30 mwezi septemba 2019 katika viwanja vya maegesho ya magari ya mlimani city (mlimani city parking area). Maonesho haya yatajumuisha sekta mbali mbali za kibiashara nchini ikiwemo viwanda na kilimo. Sabamba na sekta hizo za kibiashara maonesho hayo yata udhuriwa na taasisi mbali za Serekali

DATE: 26th-30th,sept,2019
LOCATION: Mlimani City-DSM:
ENTRANCE FEE: Free
BOOK FOR BOOTH/TABLE: +255 769 119 859/ 0717 706 259

Did you like this? Share it: