MWALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA SEKTA YA MADINI NCHINI KONGO(DRC) 24-26 MEI,2018

Kwa wadau na wanachama wa TCCIA,tunapenda kuwajulisha kuwa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FEC) linaratibu Maonesho ya sekta ya madini yatakayofanyika tarehe 24-26 Mei,2018 mjini Lubumbashi katika Jimbo la Haut-Katanga. Maonesho hayo yatawakutanisha wadau wa sekta mbalimbali wa ndani na nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili kukuza mtandao wa kibiashara na uwekezaji.

Kwa Taarifa zaid wasiliana nasi kupitia namba , Simu: +2552222119437, Emails:
1.hq@tccia.com
2.fhamisi@tccia.com
3.nyamizis@yahoo.com


Did you like this? Share it:

Comments are closed.