Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa TCCIA ulifanyika tarehe 31 Mei 2018 jijini Dar es Salaam katika hoteli ya New Africa Hotel ambapo kulikuwa na washiriki kutoka mikoa yote ya Tanzania bara. Mgeni rasimi alikuwa Rais Wa Chemba ya wafanya Biashara,wenye Viwanda na Kilimo ndugu Ndibalema John Mayanja akiambatana na makamu wake watatu Viwanda (Mr. Octavian Mshiu),Biashara (Mr. Julius Kaijage), Kilimo (Mr.Joseph Kahungwa).

Did you like this? Share it: