Tarehe 24 Februari 2019 Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb.), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, alizindua Mwongozo wa Majadiliano Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Ngazi ya Mikoa na Wilaya. Pichani: Mhe. Jennista Mhagama akikabidhi Nakala ya Mwongozo huo kwa Bw.George V. Lengeju, Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA

Did you like this? Share it: