Category Archives: Events and Networking

TCCIA yazindua huduma ya TYM

May 3, 2018 0 Comments

Makamu wa Rais TCCIA Octavian Mshiu (katikati) akizundua huduma mpya ya TMY leo, kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA Gotfrid Muganda akifwatiwa na Patrick Emmunel Meneja Maendeleo ya Viwanda TCCIA, wa Mwisho kulia ni Helen Mangare Afisa Uhusiano Eag akifatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Eag Group Imani Kajula.

MWALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA SEKTA YA MADINI NCHINI KONGO(DRC) 24-26 MEI,2018

April 30, 2018 0 Comments

Kwa wadau na wanachama wa TCCIA,tunapenda kuwajulisha kuwa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FEC) linaratibu Maonesho ya sekta ya madini yatakayofanyika tarehe 24-26 Mei,2018 mjini Lubumbashi katika Jimbo la Haut-Katanga. Maonesho hayo yatawakutanisha wadau wa sekta mbalimbali wa ndani na nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili kukuza mtandao […]

EAST AFRICA – GERMAN TRADE FORUM -IN BERLIN GERMAN 15/05/2018

April 24, 2018 0 Comments

Dear Members of Business Community,
TCCIA would like to inform all business community that, you are invited to participate to the forum between the East African community and German that will take place in the town of Berlin from 15th May,2018.
For more information please contact the TCCIA HQ at: hq@tccia.com and fhamisi@tccia.com.

Tanzania – Turkey Business Forum To Be Held On 27th July 2017

July 19, 2017 0 Comments

Dear TCCIA Member,
Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) in collaboration with Turkish  Exporters’ Assembly has the pleasure of inviting you to the 2nd Tanzania – Turkey Business Forumto be held on 27th July 2017, from 09:30pm at  Serena Hotel in Dar-es-Salaam.
The objective of the forum is to foster economic and business relations between Turkey and Tanzania as well as to exchange business […]

TCCIA BUSINESS MISSION TO ITALY

March 16, 2017 0 Comments

TCCIA would like to remind all chamber members and non members that the Tanzania Business Delegation to Italy will be
on 04/05/2017-Rome,Italy and Istanbul, Turkey on 05th to 06th May,2017 during the same visit. Deadline to Italy
business mission confirmation time has been favored to 24th March 2017 while deadline for Turkey confirmation is end of March […]