Category Archives: Trainings and Workshops

FURSA YA BIASHARA KATIKA SEKTA YA AFYA

July 6, 2018 0 Comments

TCCIA inapenda kuwajulisha wanachama wake na wafanya biashara wote kwaujumla waliopo kwenye sekta ya Afya kuwa kampuni ya SINES Medical ya uturuki inatafuta wabia wakusambaza vifaa mbalimbali katika sekta ya afya. Hii ni fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania ambao wako tayari na wana uwezo wa kusambaza vifaa vya afya kama “Surggical equipment,hospital furniture,hospital equipment devices […]

ORBITUARY : DEMISE OF THE TCCIA PRESIDENT MR NDIBALEMA JOHN MAYANJA 14TH JUNE 2018.

June 14, 2018 0 Comments

The TCCIA Management announces the sudden demise of Mr. Ndibalema John Mayanja President of the Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) and chairman of the East African Chamber Of Commerce, Industry and Agriculture (EACCIA) which occurred at his residence mbezi beach africana, Dar es Salaam in the morning of 14th June […]

MKUTANO MKUU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (TCCIA)

June 4, 2018 0 Comments

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa TCCIA ulifanyika tarehe 31 Mei 2018 jijini Dar es Salaam katika hoteli ya New Africa Hotel ambapo kulikuwa na washiriki kutoka mikoa yote ya Tanzania bara. Mgeni rasimi alikuwa Rais Wa Chemba ya wafanya Biashara,wenye Viwanda na Kilimo ndugu Ndibalema John Mayanja akiambatana na makamu wake watatu Viwanda […]

2018 TRADE FAIRS FROM FIVE DIFFERENT COUNTRIES

April 19, 2018 0 Comments

Please be informed that the trade fair announcements for the year 2018 to all TCCIA members and Non Members are now at TCCIA HQ. Your required to indicate the type of trade fair you would like to attend. Contact the below information for further procedures.
For more contact please see
Email:fhamis@tccia.com
nyamizis@yahoo.com

TAX REFORM PROPOSALS SUBMISSION FOR THE NATIONAL BUDGET 2018/19.

January 23, 2018 0 Comments

Dear Members of the Business Community,
You are kindly requested to submit the Tax Reform Proposals for the preparation of the National Budget 2018/19.
Submit your Proposal to TCCIA Offices.
TCCIA Headquarter :hq@tccia.com or TCCIA Regional and District Chamber offices.
For more details on how to present your proposal, please find the attached letter below.
CLICK HERE